Wapendwa wafanyakazi wenzangu,
Katika kumbukumbu ya kuanzishwa kwetu, ninawashukuru kila mmoja wenu kwa kazi iliyoifikisha kampuni hii pale ilipo leo. Tuliyoyafikia, tuliyafikia pamoja; mwaka ujao tutasonga mbele kwa azma ile ile.
Nawatakieni nyinyi na familia zenu sikukuu ya amani na fahari.